NEW SONGS: GEORGE & SANTANA



George Anakukaribisha kusikiliza tungo makini tungo zenye vina "MTOTO WA BIBI"
Ndio habari ya mjini 👆👆👆👆



Kutana nakazi hii poa sana ya Singeli Toka kwa Mwanasingeli msomi zaidi Tz akikupa vionjo adimu karibu usikilize Singeli toka kwa  BEKA SANTANA kazi inaenda kwa jina LA "SIMU YA MWISHO"👆👆👆👆

Usisite kutuachia maoni yako hapo chini baada yakupata mziki mzuri.

No comments