MBUNGE MWINGINE WA CHADEMA AHAMIA CCM

Mbunge wa Siha kilimanjaro Dk.Godwin Mollel leo ameamuaa kukihama Cha Demokrasia Na maendeleo CHADEMA kwakile alicho dai kumuunga mkono Raisi Magufuli  kwa juhudi anazo zifanya.

“Nimeona nia ya dhati ya Serikali CCM kutetea rasirimali za Taifa, nikaona niweze kujiuzulu nafasi yangu ya ubunge ili niweze kwenda kujiunga kwa vitendo katika kulinda rasirimali za Taifa letu, aminini watu wangu wa Siha nimeona mbali katika maamuzi haya, wana CCM napendekeza na nyie mnipokee,” – Dkt Godwin Mollel

No comments