MKURUGENZI WA ABERDEEN AKUTWA NA HATIA YA KUBETI DHIDI YA CLUB YAKE.
MKURUGENZI huyo aligundulika kua ameshabeti zaidi ya mara 589.
Huku akiwa na mikeka 89 inayohusisha Aberdeen kutoa sare na mikeka 69 inayohusisha Aberdeen kufungwa.
Amegundulika kua amekua akibet tokea mwaka 2014.
Na kwny mkeka wake wa hivi karibuni inaonekana alibeti kua Aberdeen ipoteze mechi dhidi ya Celtic ilipokua inacheza uwanja wa nyumbani.
Na ni kweli hiyo mechi Aberdeen ilipoteza hiyo mechi
MKURUGENZI huyo wa club ya Aberdeen pia ni mjumbe wa bodi ya wadhamini wa shirikisho LA soka nchini Scotland.
Kauli ya shirikisho:
Shirikisho linasema hilo swala LA MKURUGENZI huyo kukutwa na mikeka halihusiani na Upangaji wa matokeo.
Wanachama wa club ya Aberdeen hivi sasa wameandamana nje ya jengo LA shirikisho wakitaka MKURUGENZI huyo achukuliwe hatua Kali za kisheria na ang'atuke.
Maana Amekua akichangia timu HYO kutofanya vizur kwa sababu ya kubet.
Tarehe 11 January anatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma hzo zinazomkabili.
Source: bbc sports
No comments