ZIJUE NDEGE ZISIZO NA RUBANI



Hebu Leo tujifunze kidogo mambo machache kuhusu ndege zisizo na rubani, maarufu kama DRONE au UNMANED AERIAL VEHICLES (UAVs) au REMOTETLY PILOTED AERIAL SYSTEMS (RPAs)
Ndege hizi zilignduliwa munamo mwaka 1898 na Bwana NIKOLA TESLA na ilitumika Afghanistan katika vita ya pili ya dunia. Pia ndege hizi zilitumika tena katika vita ya MAREKANI na VIETNAM munamo mwaka 1954-75, ambapo ilitumika katika harakati za kufanyia uchunguzi Vietnam.
MATUMIZI YA DRONES 
Ndege hizi zisizo Na rubani hutumika katika mazingira tofauti tofauti, kama vile  
Ø  Kwenye shuguli za kilimo 
ØKwenye tafiti mbali mbali ambazo huhusisha upigaji picha au kupiga picha katika matukio mbalimbali  
ØKwenye shuguli za kijeshe, Ambapo hapa ndio wengingi hutumia ndege hizi. 
IJUE NDEGE HII YA KIVITA YA MAREKANI (DRONES). 
Marekani ni moja ya inchi zinazo aminika kuwa na jeshi linalotumia technologia kubwa dunianiMwaka 2005 waliweza kutengeneza ndege aina ya 10 MQ-9 ambayo inuwezo wakubeba makombola madogo nakuwea kufanya mashambulizi hukuikiongozwa na rubani akiwa chini kama inavyo onyeshwa kwenye hii VIDEO BOFYA HAPA. https://www.youtube.com/watch?v=dZkeQeKuuqw&t=27s Na ndege hii inadaiwa kugarimu Dola za kimareka 12,548,710.60 ni ndege inayo daiwa kuwa na uwezo mkubwa kwenye shuguli za kijeshi
Ndege hi huweza kuruka umbali wa kilomita 22,780 pia huweza kwenda juu kwa umbali wa futi 60,000Na ndege hii ya jeshi la marekani ndiyo imeweza kuvunja rekodi ya kukaa zaidi hewani imeweza kuka kwa mda wa saa 33 kulinganishwa nanyingine ambazo huka masaa 32 
"Kiujumla ndege zisizo na rubani hutambuliwa kama roboti ambayo inauwezo wakuruka hewani ambazo huendeshwa na mfumo wa kompyuta (controlled system) ikiwa imeunganishwa na kifa cha GPS (global positioning system).

 je ungependa kupata historia ya kitu gani? tuandikie

elisantenicholaus@gmail.com
+255758019034

No comments