BREAKING NEWS: MZEE KINGUNGE NGOMBARE MWIRU AFARIKI DUNIA

Habari tulizozipokea hivi punde zinasema kuwa mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Mzee Kingunge Ngombale Mwiru amefariki dunia leo alfajiri Ijumaa Februari 2,2018 

Mauti yamemfika akiwa anaendelea kupata matibabu katika hospitali ya taifa muhimbili. Ikumbukwe kuwa mzee Kingunge alikuwa akitibiwa majeraha yaliyo sababishwa na kujeruhiwa na mbwa.

Nipigo kubwa kwa taifa, Kwani mzee kingunge enzi za uhainwake alitumikia nyadhifa mbali mbali serikalini Pia ndani ya chama cha mapinduzi. Mzee Kingunge atakumbukwa hususani kwa uongozi wake ulio tukuka.

Mwenyezi mungu ampumzishe salama mzee wetu Kingunge. 

No comments