BAD NEWS: MSANI NGURI WA MUZIKI UGANDA (RADIO) AFARIKI



Mwanamuziki wa Nchini Uganda, Moses Sekibooga maarufu kwa jina la kisanii Mozey Radio afariki dunia

Mwanamuziki huyo alikimbizwa Hospitali ya Nsambya siku ya tarehe 23 Januari, 2018 baada ya kuanguka na kuvunjika shingo na fuvu la kichwa wakati akiwa kwenye ugomvi na mlinzi wa ukumbi mmoja wa starehe

Hata hivyo Hospitali hiyo haikuweza kumhudumua kutoka na kitengo cha wagonjwa mahututi kujaa ndipo msanii huyo alihamishiwa Case Clinic iliyopo Bungando Road JIjini Kampaka


Msani huyu atakumbukwa hususani kwa muungano wake na weasel ambaoo wali unda kundi lililo julikana kwa jina la. Weasel & Radio.
Sikiliza moja ya kibao chao kilicho tamba enzi za uhai wake kilicho washilikisha wana dada machachali wa kikundi cha Blue 3



No comments