WAZIRI JAFO AIMWAGIA SIFA MBEYA



ZIARA YA WAZIRI WA TAMISEMI mhe JAFO MKOANI MBEYA LEO
Amepongeza uongozi wa serikali ya mkoa wa Mbeya kwa ujenzi wa madarasa kwa ajili ya wanafunzi 3,092 waliozuiliwa matokeo kwa ukosefu wa madarasa, utaratibu mzuri wa Mkuu wa mkoa ktk usikilizaji wa kero na utatuzi wa migogoro, na uhamasishaji wa ujenzi  wa zahanati kila kijiji na vituo vya afya kila kata








No comments