WAZIRI WA ELIMU ATUMBUA JIPU CHUO KIKUU CHA ARIDHI
Katika Kongamano lililo fanyika katika Chuo kikuu cha Aridhi leo ikiwa ni kuadhimisha Miaka 10 ya Chuo hicho Wazri wa Elimu prof.NDALICHAKO Amemsimamisha Afisa Mikopo Wa chuo kiku cha Aridhi akiwa ni kufuatia tatizo lakuto wapatia wanafunzi mikopo yao kwawakati.
Pia Waziri hakuishia hapo alitoa Neno kwa Vyuo ambavyo mpaka sasa havijawrza kutoa mikopo kwa wanafunzi wake kuwa ingizia kwa wakati Pia alitoa agizo kwa wakuu wa Vyuo kusimamia malipo ya pesa ya wanafunzi kwawakati.
No comments