HABARI MPYA KUHUSU TUNDU LISSU


Kimya kilefu kilicho kuwa kimetanda juu ya habari za Lissu juu ya maendeleo yake Leo kimetenguliwa na Msemaji wa familia ya Mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu Lissu, Bw Alute Mughway.

Ambaye amesema kaka yake anatarajiwa kupelekwa nje ya nchi za Afrika Mashariki wakati wowote kuanzia sasa na amewataka watanzania wenye mapenzi mema kuendelea kumuombea ndugu Tundu Lissu.

No comments