WATU 13 WAFARIKI DUNI NA 24 KUJERUHIWA SINGIDA BAADA YA GARI LILILOTOKA MSIBANI KUGONGANA NA GARI LA MAHARUSI.. FUNGUA KUONA NA TARIFA ZA MCHANA WA LEO TBC.

Gari aina ya Noah iliyopata ajali kwa kugongana na lori katika eneo la Kijiji cha Isuna , mkoani Singida na kusababisha vifo vya abiria 13, jana
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo, dereva wa gari aina ya Toyota Hiace alikuwa akijaribu kulipita gari jingine bila mafanikio, ndipo alipogongana na gari hilo nakusababisha maafa makubwa.

Tunatoa pole kwa wahanga wote wa tukio hili.
Video ya tukio hilo pamoja na habari nyingine tazama hapa chini.



source:yanayojiri site.

No comments