MCHEZAJI WA BRAZIL ROBINHO AHUKUMIWA MIAKA TISA (9)
Alie kuwa staa wa wa timu ya taifa ya Brazil na vilabu vya Manchester city,Madrid na Ac milan Robinho Amehukumiwa kwenda kutumikia kifungo cha miaka 9 kutokana na kosa alilolitenda munamo January 22,2013 akiwa na clabu ya Ac milani Ambapo anatuhumiwa katika kosa la kumuingilia kimapenzi mwanamke mmoja akiwa nawenzake waTano katika clabu ya usiku.
Jambo hilo inchi Italy lina hesabika kam ni udhalilishaji hivyo mahakama ya inchini humo imemuhukumu kwenda jela miaka 9 baada ya kukutwa na hatia.
No comments