JENGO LA TANESCO LAANZA KUBOMOLEWA IKIWA NIKUTEKELEZA AGIZO LA RAISI



Jengo la Tanesco limeanza  kubomolewa ikiwa ni moja ya maagizo yaliyo tolewa na Muheshimiwa Raisi.

Kazi hiyo imeanza Leo huku mamlaka ya majengo Tanzania ikishirikiana na Tanesco wakihakikisha zoezi hilo linafanyika kwa mafanikio bila kudhuru shuguli za utoaji wa huduma kwa wateja wa shirika hilo.

Pia baadhi ya wafanyakazi wameweza kuhamishiwa kwenye ofisi nyingine za shirika hilo zilizopo jijini Dar es salaam. Ili kufanikisha zoezi hilo kufanyika bila madhara yoyote.
Meneja wa Tanesco amesisitiza kuwa huduma kwa wateja wake zitaendelea kutolewa kama kawaida.

No comments