BREAKING NEWS: AJALI YA BASI LA PRIMIER


Habari zilizo tufikia hivi punde Basi la kampuni ya Primier inayofanya safari zake kati ya Mbeya na Mwanza limegongana na roli katika Wilaya ya Nzega. Juhudi za uokoaji zinaendelea wakati mpaka sasa hakuna tarifa ya kifo chochote kwenye ajali hiyo




No comments