ODINGA AFANYA MAAMUZI HAYA MAGUMU


Tangu uchaguzi wa marudio kuisha hali bado haija tengama kwa upande wa vyama vinavyo unda umoja wa NASA. Viongozi wake wamekuwa wakiendelea kupinga ushindi wa JUBILEE. Kufuatia vugu vugu hilo NASA Ilitangaza kususia kila bidha na huduma zinazo tolewa au kuihusisha serikali iliyopo madalakani, Hapo jana Alie kuwa mgombea wa Uraisi kupitia NASA Mh.Raila Odinga Aliamua kuhama mtandao wa simu wa SAFARICOM ambao serikali ina umiriki wa asilimia 30 Nakuhamia Mtandao wa AIRTEL hii yote ikiwa nimuendelezo wa kususia huduma na bidha ambazo zina husiana na serikali iliyopo madalakani.

No comments