BREAKING NEWS: AJALI MBAYA IMETOKEA HIVI PUNDE



Ajali mbaya  imetokea muda mfupi uliopita maeneo ya Kideka, Wilayani Ikungi mkoani Singida kati ya gari ndogo aina ya Toyota Land Cruiser yenye namba za usajili T862 DJW kugongana uso kwa uso na basi la Taqwa la Kampala.
Idadi kamili ya majeruhi au vifo hatujaweza kupata tutakusogezea update zote hapa kinacho jili eneo la tukio.









Mwenyezi Mungu akawe mfariji wa familia zilizo patwa na majanga.

No comments