LIPSTICK YA WEMA SEPETU YA FUNGIWA KWAKUKOSA VIWANGO


  Usikuwa wa uzinduzi wa lipsticks za kiss

Mwana dada alie wahi kuwa Mlimbwende wa Tanzania mwaka na muigizaji Wema Sepetu leo amepatwa na Maswahibu ya kufungiwa kwa rangi zake za midomo (lipstick) Ambazo zilijulikana kwajina la kiss.

Hatua hiyo imefikiwa baada ya Mamlaka ya chakula na Dawa (TFDA) Ikishilikiana na Shilika la Viwango Tanzania (TBS) Kubaini kuwa bidha hiyo haina ubora unao kidhi kwa watumiaji.
Meneja wa kampuni hiyo inayo milikiwa na Wema Sepetu bado hakuweza kudhibitisha habari hiyo akidai kuto kupewa tarifa rasimi.





No comments