BAD NEWS: BOMU LA LIPUKIA WANAFUNZI HUKO NGARA KAGERA

Mlipuko unao sadikika kuwa ni mlipuko wa bomu umetokea katika shule ya msingi Kihinga wilayani Ngara Mkoani Kagera.
Nakupelekea Mauti ya wanafunzi Watatu.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kagera Agustino Olomi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema kwamba wanafunzi hao walikuwa wakati wa mapumziko , na ndipo mlipouko huo ulipotokea na kusababisha maafa hayo
Jeshi la polisi limefika katika eneo la tukio na linaendelea na uchunguzi juu ya mlipuko ulio tokea.

New update
Idadi ya vifo n mjeruhi vimeongezeka nakufikia vifo 6 (sita)  na majeruhu 25

Tunapenda kuto pole kwa familia zilizo fikwa na maafa haya.

No comments