Zijue rekodi za kipekee za rais wa Awamu ya pili Ally Hassan Mwinyi

Mzee ally hassan mwinyi ni rais wa pili wa jamhuri ya muungano Tanzania,mzee mwinyi  alizaliwa mei 5,1925,zifuatazo ni sifa zake tano zinazomtofautisha na Marais wengine.



Mzee ally hassan mwinyi ndo rais wa Tanzania kushika wadhifa huo akiwa na umri mkubwa kupita rais yoyote mpaka sasa,aliingia madarakani akiwa na umri wa miaka 60.

Mzee mwinyi,ndiye rais pekee mpaka sasa kushika wadhifa huo akiwa ametokea upande wa Tanzania visiwani,marais wengine wote wanne wanatokea bara.

Pia ana rekodi ya kipekee ya kuwahi kushika wadhifa wa rais wa Zanzibar na wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania,alishika wadhifa wa zanzibar kwa mwaka mmoja tu.

Lakini ndiye rais pekee ambaye amewahi kushika wadhifa huo huku akiwa na first lady zaidi ya mmoja,mama sitti mwinyi na bi hadija mwinyi.


Rais mstaafu mzee ruksa anaongea kwa ufasaha lugha za Kiswahili,kiingereza na kiarabu.

No comments