Picha:wajue viongozi wakuu wa nchi wenye umri mkubwa zaidi duniani
Eliezer Gibson
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ndiye kiongozi wa mkuu wa nchi mwenye umri mkubwa zaidi duniani,Leo tunakuletea top ten ya viongozi wenye umri mkubwa zaidi duniani akiwemo Mugabe anayeongoza orodha hii.
1.Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, 93
Alizaliwa 21 February 1924 Kutama, Zimbabwe
Alizaliwa 21 February 1924 Kutama, Zimbabwe
2.Queen Elizabeth II, 90
Alizaliwa 21 April 1926 London, England
Alizaliwa 21 April 1926 London, England
3.Rais wa Tunisia, Beji Caid Essebsi, 90
Alizaliwa 29 November 1926 Sidi Bou Said, Tunisia
4.Emir wa Kuwait, Sheikh Sabah IV Ahmad Al-Jaber Al-Sabah, 87
Alizaliwa 16 June 1929 Kuwait City, Kuwait
Alizaliwa 16 June 1929 Kuwait City, Kuwait
5.Gavana generalize wa Barbados, Sir Elliott Belgrave, 85
Alizaliwa 16 March 1931 Saint Peter Parish, Barbados
Alizaliwa 16 March 1931 Saint Peter Parish, Barbados
6.Rais waCuba, RaĆŗl Castro, 85
alizaliwa 3 June 1931 BirƔn, Cuba
alizaliwa 3 June 1931 BirƔn, Cuba
7.Gavana generali wa Bahamas, Dame Marguerite Pindling, 84
Alizaliwa 26 June 1932 South Andros, Bahamas
Alizaliwa 26 June 1932 South Andros, Bahamas
8.Gavana generali wa Belize, Sir Colville Young, 84
Alizaliwa November 1932 Belmopan, Belize
Alizaliwa November 1932 Belmopan, Belize
9.Rais wa Cameroon, Paul Biya, 84
Born on 13 February 1933 in Mvomeka'a, Cameroon
10. Mfalme waJapan, Akihito, 83
Alizaliwa 23 December 1933 in Tokyo, Japan
No comments