Mjue vannesa Morgan mwigizaji wa Hollywood mwenye asili ya Tanzania


Vannesa morgan ni mwigizaji mkubwa Hollywood aliyezaliwa tarehe 23 march 1992,vannesa morgan amezaliwa kwa mama mscotland na baba mtanzania 

Vannes ameigiza movie nyingi tu ikiwemo drama maarufu ya mtv teen drama finding carter anafahamika kama Beatrix "Bird" Castro,pia kama Amanda Pierce katika Family teen sitcom The Latest Buzz, pia kama Sarah katika Disney Channel/Teletoon na My Babysitter's a Vampire na nyingine nyingi.

Mrembo huyo ambaye mwaka 1999 alishinda taji la urembo junior miss America atakuwepo kwenye Shannara Chronicles Season 2 ambayo inatarajiwa kuachiwa october mosi mwaka huu humo ndani akiigiza kama lryia 

Pamoja ya kua vannesa hana uraia wa Tanzania baada ya kuchukua uraia wa cannada alikozaliwa lakini yupo proud na Tanzania kwenye bio yake ya instagram anakotumia jina vannessamorgan ameweka Bendera ya Tanzania kati ya bendera za nchi ya asili zake.

Tunaweza kumtumia huyu kujitangaza kuwa sababu ameonyesha upendo na nchi ya asili ya babake,tujiongeze tu! 


No comments