Matokeo ya mechi zote za UEFA Jumatano na misimamo ya makundi yote

Na Eliezer Gibson

Mechi mbalimbali za mashindano makubwa zaidi ya vilabu barani ulaya,UEFA CHAMPIONS LEAGUE. Yamepigwa katika viwanja mbalimbali katika hatua ya makundi,yafuatayo ni matokeo ya mechi hizo pamoja na msimamo wa kila group baada ya mechi za jana usiku.



Na hii ni hali ya makundi kutoka group A-H







Washindi wawili wa kila kundi wanafuzu kwa hatua inayofuata ya 16 bora na mshindi wa tatu anaenda kuungana na washindi wa makundi ya Europa league(UEFA ndogo) kucheza hatua ya 32 bora ya ligi hiyo.

No comments