Hili sio Tangazo jamani,Joti kaoa kweli
Eliezer Gibson
Miezi kadhaa nyuma mmoja kati ya waliokua wanaunda kundi la Zecomedy,Lucas muhuvile almaarufu joti alionekana akiwa katika mavazi ya harusi na binti mmoja ivi watu wakajua amevuta jiko kumbe lilikua Tangazo la kampuni ya simu

Lakini jana comedian huyo maarufu amefunga ndoa kweli na wala sio tangazo tena mchekeshaji huyo maaarufu amechukua mke wa maisha yake ya ndoa.
Kwa mujibu wake mwenyewe huyo ni mwanamke ambaye ni wa muda mrefu na jana ilikua ni ukamilifu na kuidhinisha kihalali kuwa sasa joti sio vm bachela tena
Katika harusi hiyo joti alisindikzwa na watu wake alio kuwa nao kwenye kundi la zecomedy,wakuvanga,masanja,mpoki na maclegan.mwenyezi Mungu aitunze na kuilinda ndoa yao tukufu.
No comments