EVERTON YAMFUKUZA KOCHA WAO RONALD KOEMAN

Baada ya kuanza vibaya ligi kuu wingeleza timu ya EVERTON leo imeachana na kocha wao kutokana nakua msimu mbovu japo ilitumia pesa nyingi katika usajili ambapo EVERTON imetumia 150 kusajili majina makubwa kama  Rooney, Kean na Joldan

1 comment: