CRISTIAN0 RONALD AMETWA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA FIFA MWAKA 2017

Ronaldo amewashinda Messi pamoja na Neymary waliokua wakiwania pamoja tuzo hiyo Ronald aliyekua na msimu mzuli baada ya kuisaidia timu yake ya Real Madrid kuchukua kikombe cha ligi ya mabingwa balani ulaya ,pia alichangia kuchukua kikombe cha ligikuu ya hispania .

No comments