UJUE UCHAWI WA BETING

  
Mpendwa msomaji wetu leo tunakuandalia makala fupi itakayo kupa au kukuboreshea mbinu zako katika mchezo wakubashiri maalufu  kama BETING.
Kitu cha kwanza kwenye hu mchezo wa beting mchezaji inabidi kuondoa dhana ya kwamba mchezo hu ni chanzo kiku cha mapato. Jalibu kucheza kama sehemu ya burudani hili litakusaidia sana kupunguza asilimia za kupoteza pesa pia kuto fidia pindi utakapo liwa pesa yako.

                                                        MUHIMU: 
1.Tukianza Kwenye upande wa mtaji jalibu kugawanya mara 3 au mara 4 pesa uliyo amua kuweka kwenye huu mchezo. Mfano una elf 20,000/=
Gawa kwa  4 @5,000/= huo mgao utakupa nafasi ya kucheza michezo (mikeka) mi nne tofauti yenye thamani ya elf 5,000/= kila mmoja na kuweza kuongeza nafasi ya ushindi zaidi.

2.Chagua timu chache zaidi uwezavyo. Hapa unashauliwa kuchagua michezo kwanzia miwili (2)  au mitatu (3). Hii itakupa uhakika sana wakupata michezo yote kuliko kuweka timu kumi (10) au zaidi.
Mfano:
Man utd         1.43
Bac.                 1.34
Madrid.          1.55
Total ODDS   4.32
Stake.             5,000/=
4.32x5000=  21,000/=

Hivyo utakuwa na uhakika wa kutengeneza kipato cha uhakika kuliko kujaza timu nyingi nakuishia kukosa. Pindi ukiongezeka mtaji utaweza kuongeza dau nakushinda zaidi.

3.Epuka kucheza kila siku. Jalibu kucheza siku chache siku zenye michezo yenye uhakika kwa mfano michezo mingi mizuri huwa ni siku za wikiendi  (Jumamosi na Jumapili) hapa itakusaidia kuwa na asilimia kubwa ya kushinda.
Hayo ni machache ambayo ukiyafuatilia kamwe huto ona ubaya wa huu mchezo na kamwe huto jutia kucheza nakuhakikishia utafurahia na hapo utadhihirisha ule msemo wa kumfirisi muhindi.

Endelea kufuatilia makala zetu pia usisite kushare na wengine waongeze ujanja

2 comments:

  1. Nadra sana kukuta man utd kapewa 1.43 hata hao barcelona bado haupo kwenye uhalisia kaka

    ReplyDelete
  2. Some truly wonderful work on behalf of the owner of this internet site , perfectly great articles . palace303

    ReplyDelete