WALIO JITOA CHADEMA SASA WATEULIWA KUGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA CCM

Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimewateua Dk. Godwin Mollel kugombea Ubunge jimbo la Siha, Maulid Mtulia kugombea jimbo la Kinondoni.

Dk. Godwin Mollel alikuwa Mbunge wa Siha kupitia CHADEMA kabla ya kujiuzulu na kujiunga na CCM, Maulid Mtulia alikuwa Mbunge wa CUF Kinodoni.

No comments