UJUMBE WA Mh.LOWASSA KWA WATANZANIA KUUKARIBISHA MWAKA 2018
Katika salamu za kuumaliza mwaka 2017 Mh.Edward Lowassa Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema amewaasa watanzania kuto kukubali kugawanyika.
Mh. Lowassa ametoa ujumbe huo kupitia mtandao wake wa kijamii wakati akitoa salamu za Mwaka Mpya 2018.
Mh. Lowassa akayaandika haya
"Tunapouanza mwaka huu mpya niwaombe watanzania wenzangu tukatae kugawanywa kwa sababu yoyote ile. Umoja na mshikamano ndio nguzo yetu. Nawatakia Heri na Fanaka ya mwaka mpya 2018".
No comments