MOHAMMED SALAH ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA AFRIKA 2017
Na mwanamichezo wako HEKELA FESTO KYANDO
>>>Mchezaji wa Liverpool toka Misri Mohammed Salah ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa BBC AFRICA 2017.
>>>Mchezaji wa Liverpool toka Misri Mohammed Salah ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa BBC AFRICA 2017.
Mohammed Salah mwenye umri wa miaka 25 ameweza kuwagalagaza wapinzani
Wake Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon , Naby Keita wa Guinea , Sadio Mane wa Senegal na Victor Moses wa Nigeria. Tuzo hizi za mchezaji bora wa kiume Afrika ambazo huandaliwa na shirika la utangazaji BBC AFRICA,
Salah ameisaidia sana timu yake ya Taifa ya Misri kuelekea kombe la dunia 2018 huko Urusi, baada ya kuwa mchezaji muhimu katika kila mchezo.
No comments