BREAKING NEWS: BABU SEYA OUT.....KWA MSAMAHA WA RAISI


        ( Picha kwa hissni ya ajilaplus)

Kama ilivyo ada siku ya maadhimisho ya uhuru huendana na msamaha wa raisi kwa baadhi ya wafungwa kutokana na makosa mbali mbali
Hivyo katika msamaha ulio tolewa leo na raisi umeweza kuwa gusa wasanii maarufu sana Babu seya na mwanae Papikocha 

Hivyo wasani hawa wameweza kusamehewa katika siku hii ya leo hakika ni siku ya kihistoria katika maisha ya wasanii hawa wawili Baba na mwana.

No comments