UCHAGUZI WA ASKOFU DAYOSISI YA KUSINI KATI
Pichani ni Alie kuwa Askofu wa Dayosisi ya kusini Kati Mch. Levis Sanga
Ni kinyang'anyiro kilicho fanyika leo ukumbi wa Dayosisi makete ambapo ilikuwa ni uchaguzi wa Askofu mkuu wa Dayosisi ya kusini kati Ambapo kura za awali za maoni ziliweza kuwapa nafasi wa gombea watatu
Mch. Wilbesa 32
Mch. Henrick ilomo 20
Dk.Farles ilomo 19
Wakati alie kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo Mch. Levi's sanga
Akishindwa kutetea nafasi yake kwakupata kura 1 tu.
uchaguzi huo uliweza kuendelea kuwakutanisha wagombea watatu ambao ni,
Mch. Wilson B Sanga
Mch. Henrick Ilomo
Dr. Farles Ilomo
Na uchaguzi huo umeisha kwa kumpa ushindi alie kuwa katibu mkuu wa Askofu, Mch Wilson B Sanga hivyo Mch Wilson B Sanga atatawazwa rasimi kuwa Askofu wa Dayosisi ya kusini kati. Kinacho subiliwa sasa ni uchaguzi unaoendelea wawaku wa majimbo.
No comments