Mbunge wa viti maalum Chadema ambaye pia ni mke wa David Kafulila Mh Jesca Kishoa amebadilisha jina kwenye profile yake badala ya kuwa #Jesca_Kishoa_Kafulila na kuwa #Jesca_Kishoa.
Je..? Jambo hili lina leta taswira gani kuna chichote kitatokea unaweza tuachia maoni yako hapo.
MKE WA KAFULILA AMBAYE NI MBUNGE VITI MAALUMU CHADEMA KAANUA HAYA
Reviewed by elisante
on
November 23, 2017
Rating: 5
No comments