KIGWANGARA KALIAGIZA JESHI LA POLISI NA TAKUKURU KUANZA KUMCHUNGUZA NYALANDU
Waziri wa maliasili na Utali Dr. Hamisi Kigwangara kaliagiza
Jeshi la Polisi pamoja na TAKUKURU kuanza mala moja kumchunguza aliyekuwa Mbunge
wa singida mashariki na aliye wahi kuwa Waziri wa Utali wa awamu ya nne ndugu
Razaro Nyalandu kufuatia tuhuma zinazo mkabili kwa kipindi alicho kuwa
akihudumu kama waziri wa wizara hiyo.
No comments