HATIMAYE NAPE AVUNJA UKIMYA NAKUYASEMA HAYA KUHUSU NYALANDU

Nisiku kadha sasa zimepita tangu Muheshiwa Nyalandu kuikacha CCM kumekuwa na maoni mbali mbali kutoka kwa makada na wanachama wa vyama mbalimbali wengine wakiunga mkono uamuzi wa Nyalandu wengine wakikosoa. Leo Muheshimiwa Nape Ameyaongea haya kupitia ukurasa wake wa Instargram .

"CHAMA CHA SIASA NI ITIKADI, ITIKADI NI IMANI. SIAMINI SANA KATIKA KUBADILI IMANI KIENYEJI. MITASHUGULIKIA MAPUNGUFU NIKIWA NDANI SIO INJE"

No comments