HADITHI YA KILIO CHANGU (MY CRY) Part ONE ~1


Hadithi:KILIO CHANGU (my cry). 01
Mtunzi,Mwandishi.:Deo Massawe. 0653195298

Ilikua siku ya tarehe 6 mwezi wa pili,siku
hiyo kwa wanafunzi katika shule mbalimbali
walifanya maadhimisho ya kupinga vitendo vya
unyanayasaji wa wanawake hasa kitendo cha
ukeketaji kwani tarehe hiyo ndo ilikua
maalumu duniani kote.
Katika shule moja ya msingi iliyopo Tengeru
mkoani Arusha basi kulifanyika maandamano
ya wanafunzi huku wanafunzi wakishika
mabango yenye maandishi mbalia mbali ya
kukataa vitendo hivyo.
Katika maandamano hayo kulikua na
mwanafunzi aitwae Genes aliekua darasa la
saba, nae alikua kiongozi wa maandamano
hayo yaliyokua yanaanzia Tengeru hadi uwanja
wa sheikh Abed uliopakana na kituo kikuu
cha mabasi ya mkoani.
Walipofika maeneo ya Sanawari basi
wanafunzi wote walisikitika kumuona msichana
anaeshangaa maandamano huku akilia kwa
sauti ila hawakujua analia kwa sababu
gani,Genes alipomchunguza aligundua ni
msaidizi wa kuuza vyakula kwa mamalishe
kwani alisimama pembeni ya viombo na
mwenyewe alibeba vikombe na maji,
"huyu mtoto mzuri mbona analia mwenyewe,?
ngoja siku nikija mjini nitampitia hapa
nikuulize maana ni mzuri sana " Genes alikua
tayari kashaanza kutamani wanawake kwani
ndipo alifika umri wa kabalehe kwa hiyo
alisemea tena
"nakuja kuongea nae tu na kigezo ni hiki
hiki kumuuliza kwa nini ulikua unalia? na
lazima ataongea na mimi maana huku shuleni
nikiongea na akina asha wananambia bado
sijakua mara sijui kaoge" alijisemea huku
akiendelea kuongoza kundi la wanafunzi
wenzake kuelekea Uwanja wa Sheikh Abeid,
Baada ya ule msafara kupita eneo lile la
Sanawari alipokua analia mtoto wa kike mama
mmoja alifoka,
"we Miriam nakufukuza kazi sasa hivi,
nakwambia osha vikombe nawe unaanza kulia
hebu fanya kazi wewe huoni kama nakulea
kama mama yako" aliongea mama huyo mbele
ya huyo msichana wa kike aitwae Miriam na
hapo Miriam alijikaza na kuendelea na kazi
zake huku akiomba mungu aendelee
kumpigania hadi siku ya mwisho kwani aliishi
maisha ya mateso na alilkua mtu kulia mara
kwa mara ingawa hata mama aliyekua anaishi
nae hakujua sababu ya Miriam kulia ovyo na
mama huyo hakuwahi kimbembeleza kujua
kinachomliza mara kwa mara labda kutokana
na kua sio mama yake.
Jioni ilifika na wanafunzi wa shule ya akina
Genes walikua tena katika maandamano ya
kurudi kurud shuleni na hapo Genes alikaa
makini kuangalia sehemu aliyopo yule
msichana,
"nataka nimuone huyu mdada tena kama
atakua amenyamaza" alijisemea moyoni.
Kwa mbali alimuona na ghafla akamshuhudia
tena kaanza kulia na mbaya zaidi alimuona
mama alietoka na mwiko na kumpiga
kichwani huku akiambatanisha na maneno
makali ambayo yalimsikitisha Genes
"pumbavu zako we mtoto wa kike ina maana
ukiona watoto wa shule unaanza kulia hapa
kazini kwangu umekuja kulilia shule au
umekuja kufanya kazi? ebooooh kama
ungetaka kusoma shule ungebaki kwenu
usome shenzi wewe peleka wateja maji ya
kunawa mikono na saiv nitakufumua
futikaaaaaa!" alifoka sana mama huyo nao
wanafunzi kama kawaida wakiona mtu
anapigwa walianza makelele,
"oyoooooo,!! weeweee!! hasira za mumeo
usimtolee mfanyakazi wako weeweeee"
walicheka sana na kufurahia ila Genes pekee
alidondosha chozi kuona jinsi msichana mdogo
kama yule anavyoteseka kwani ingebidi mda
huo awe shule.
Usiku huo Miriam alilala huku akiwa na
mawazo sana kwani alijiona kama sio mtu
huku duniani kwa mateso aliyokua anapata
alifkiria maisha aliyopitia tokea akiwa mtoto
na alifikiria kitendo kilichomfanya awe
mazingira yale kwa mda ule na kuona kweli
amepitia mengi,
"sasa nitateseka hivi hadi lini, heri ningebaki
nyumbani tu nikakubaliana na ile hali
iliyojitokeza ila huku nafanyishwa kazi ngumu
huku nikiteswa kiasi hiki ni bora
ningekubaliana na ile hali ya kule nyumbani"
alijisemea Miriam huku akikumbuka
yaliyomtokea maishani mwake hadi yeye kuwa
mazingira yale hivyo kutoa machozi kwake
ilikua sawa na mtoto wa tajiri kutabasamu
aonapo wazazi wamemletea zawadi.
Genes nae usiku kama kawaida kitanda kimoja
na mtoto wa Mjomba wake aitwae Dany
hivyo alilala huku akiwaza kwa nini yule
msichana aliwaona akalia na alitamani sana
kujua kwa nini na pia alimtamani hadi awe
mpenzi wake, alipotelea usingizini huku
mawazo yakiwa kwa yule msichana. Mwendo
wa saa kumi na moja asubuhi Dany aliamka
kukojoa katika kopo lilokua mvunguni na
kurudi kulala ila kabla ya kupotelea usingizini
aliskia Genes akiwa anaongea ndotoni ila
aliskia maneno yake tu nayo yalikua hivi
"jaman mbona mchana ulilia hapa ulipigwa na
mama yako kwani umemfanyaje ??"
"aah unadanganya sasa we umenionaje kwenye
kundi la watu wengi vile na ukiniona sasa
unalia ?"
"me nilikupenda sana na nikasema nitakuja
kukubembeleza ndo mana leo nikaja hivyo
tusogee hapo nyuma ili mama yako asije
kunipiga mwiko"
"sogea basi nikusalimie kwa busu kwani wewe
huangalii tamthiliya za wazungu
wanavyosalimiana"
usinishike kidudu changu jaman naskia mkojo
wa ghafla achia huko toa mkono wako
nitakukojolea ondoaaa"
Dany aliogopa kusikia kaka yake anataka
kukojoa kitandani hivyo akaamua kumshtua.
Genes alishtuka na kumkumbuka mwalimu
wake wa darasa la tano wa sayansi
alivyowafundisha kuhusu kubalehe na kuota
ndoto pevu ambazo huja wakati asubuhi,
"kweli mwalimu hakudanganya" Genes aliongea
huku akikagua nguo yake ya ndani na
kuikuta imechafuka.
Dany yeye alikua hajui chochote kwani alikua
anasoma darasa la tatu.
"hakika huyu mwanamke lazima nitamtafuta tu
aniambie sababu za kulia na kama ni msaada
nitampa maana kaniotesha ndoto tamu huyu
Dany hata amenishtua wa nini angeniacha
nimalize hata kumpigia busu" alijisemea Genes
huku akijiandaa na shule na siku hiyo ilikua
ijumaa na jumamosi ndio alipanga kuenda kwa
msichana aliemwotesha ndoto nzuri na tamu,
"hii ndoto itakua Kweli tu siku moja ngoja
kesho nimuibukie pale anapokaa ila sasa huyo
mama yake hatanitoa na mwiko kweli ? ila
me ndio chali ya Arusha naweza kukuibia
soksi bila ya kukuvua viatu au kukuvua shati
kabla ya koti" hakika Genes alipagawa ghafla
kwa huyo binti hivyo alienda shule kisha jioni
alirudi nyumbani mawazo yote yakiwa kwa
huyo binti na kabla ya kulala akamuonya
Dany,
"we Dany siku ukiskia naongea usiku usinistue
tena"
"apana kaka niliogopa usije kukojoa kitandani
maana niliskia unasema unakojoa" Dany alijibu
"hata nikikojoa kwani we unafua mashuka ?
we usiniamshe tena"
Wote walilala huku Genes akiomba mungu
aote tena ndoto ya usiku uliopita.
Usiku huo ulikua zamu ya Miriam kuota jinsi
alivyolia mbele ya wanafunzi waliopita
barabarani na aliota akisema hivi,
"we hapo mbona wenzako wananicheka na
wewe unanililia au unanionea huruma?"
"njoo nkupe mkono wa hongera"
Miriam aliota akitamka maneno hayo ila
alipotaka kunyoosha mkono basi aligusa ukuta
na hapo akashtuka kwani alilala akiwaza
kitendo kila na hapo sura ya Genes ilikua
kichwani mwake..
Asubuhi ya tarehe 8 mwezi huo wa pili
palikucha vizur na hali ya barid ilizoeleka
katika jiji la arusha ila kwa Miriam kukaa
jikoni mda mrefu alipenda kuvaa nguo nyepesi
zilizoonesha chuchu kuchomoza kama mkuki
ikilinganishwa ndio kipindi alivunja ungo.
Wateja wakiume waliokuja kula chakula kwake
walimtania kwa kusema
"ziwa konzi mama kila saa ni saa sita je
ukikua kidogo hatutauana kweli?".
Maneno hayo yalimfanya Miriam awe anacheka
cheka na kukimbia kuogopa mtu asimguse
maana kila alipokua anaosha mteja wa kiume
basi mteja hufanya kumgusa kwa mbali kitu
kinachofanya aruke kama chura na
anapomwaga maji basi mama mlezi wake
humgombeza kwani pia mama aliona wivu
kwa kila mwanaume kumtamani mtoto huyo,
" yani kila mwanaume anamuona tu huyu
mtoto ambae hajui hata kufua chupi na mimi
mama lao nikiwa hapa?".
Jumamosi hiyo Genes aliamka mapema akavaa
zake ambazo Dany ndo alifanya kazi ya
kumwambia umependeza au la hivyo alibadili
nguo hadi pale alipojiona ametoka bomba,
"huyu mtoto lazima anisikilize tu" aliongea
Genes huku akitinga kofia yake na kuondoka
hakika kwa uvaaji wake basi hakua mtindo
wa mwanafunzi kwani alivaa suruali ya kubana
na viatu vikubwa akawa anatembea kama
mwanapolo alietoka Mererani kukagua migodi
ya Tanzanite akapanda daladala ya kuelekea
Sanawari.......ITAENDELEA JUMAMOSI USISITE KUTUACHIA COMENT HAPO CHINI

No comments