HABARI NJEMA KWA WALIO KOSA MIKOPO NA WASIO RIDHIKA NA KIWANGO CHA MKOPO WALIO PEWA


TANZANIA SOCIAL SUPPORT FOUNDATION
MFUKO WA ELIMU YA JUU
MWALIKO WA MWISHO WA MAOMBI YA MKOPO WA
MSINGI NA MKOPO WA NYONGEZA KWA
WANAFUNZI WA TAASISI ZA ELIMU YA JUU PAMOJA
NA KUALIKA MAOMBI YA KUKATA RUFAA KWA
WANUFAIKA WA MFUKO WA ELIMU YA JUU WA TSSF
KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018
1.0 Utangulizi
Shirika la TSSF ni Shirika lisilokuwa la Kiserikali lililoanzishwa kwa mujibu
wa Sheria ya Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali, Sura ya 56 ya Sheria za
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shirika la TSSF lilianzishwa mnamo
Julai 18, 2011 na lina uzoefu wa miaka sita katika kutoa huduma za elimu
ya juu, afya, ukuzaji uchumi, utawala bora, na utalii. Nambari ya Usajili wa
Shirika la TSSF ni 00NGO/00006998. Makao Makuu ya Shirika la TSSF
yapo Mkoani Mtwara, na Ofisi ndogo za Shirika la TSSF zipo Jijini Dar es
Salaam.
2.0 Mwaliko wa Maombi ya Mikopo ya Msingi na Mikopo ya
Nyongeza kwa Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu
TSSF imefungua rasmi zoezi la kupokea maombi ya mikopo ya
msingi na mikopo ya nyongeza kwa wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu
zilizopo ndani ya mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Zoezi la
kuchukua na kurudisha fomu litaanza rasmi kuanzia kesho siku
ya Alhamisi ya tarehe 19 Oktoba 2017 hadi tarehe 30 Novemba
2017. Gharama za Fomu ni Shilingi 30,000/= TZS. Mwongozo
kuhusu Mikopo yote iliyotajwa hapo juu unapatikana katika tovuti ya
Shirika la TSSF ambayo ni https://tssf-org-tz.weebly.com/news.html
Aidha Fomu za Maombi ya Mikopo tajwa hapo juu zinapatikana
katika tovuti iliyokwisha tajwa hapo juu na kwa baadae fomu hizo
zitapatikana katika tovuti kuu ya TSSF ambayo ni tajwa hapo mbele BOFYA👉👇BOFYA HAPA KUPATA FOMU NA MAELEZO ZAIDI

No comments