CCM YA ZIDI KUVUNA WAPINZANI
Jana Naibu Spika Dr Tulia Ackson alifanya kampeni ya kumnadi mgombea Udiwani Wa Kata ya Ndalambo Wilayani Momba.
Akimnadi Mgombea Flavian Sichizya kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Naibu Spika Tulia Ackson aliwapokea zaidi ya wanachama 105 waliojiunga na chama hicho.
Pamoja na Hayo pia aliwakabidhi rasmi kadi za Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Halihii inaonyesha jinsi chama Tawala kinavyo endele kuvuna watu toka vyana pinzani.
Je hali hii inaweza leta maana gani kwa siasa za inchi yetu.
Tutapenda kuona maoni yenu wasomaji wetu.
No comments