BREAKING NEWS: JENGO LA CLOUDS MEDIA LINA WAKA MOTO

Taarifa zilizo tufikia hivi punde ni juu ya moto ulio zuka katika jengo la utangazaji la clouds ambapo mpaka sasa chanzo halisi cha moto huo hakijaweza kutambulika.
taarifa zaidi tutakusogezea hapa hapa si punde kukujuza kinacho jili eneo la tukio.

No comments