BREAKING NEWS: HATIMAYE MUGABE AJITUMBUA MWENYEWE NAKUACHIA KITI CHA URAISI



ROBERT MUGABE AMEJIUZULU KAMA RAIS WA ZIMBABWE.
Spika wa bunge la Zimbabwe ametangaza kuwa rais Robert Mugabe amejiuzulu .

Kumekuwa na shangwe miongoni mwa wabunge kufuatia tangazo hilo. harakati za kumuondoa madarakani rais huyo kupitia bunge kumesitishwa.

Mugabe mapema mda huu ameamua kufanya maamuzi haya bila shindikizo la upande wowote pia bila mashariti yoyote.

chanzo:bbcswahili

No comments