OKWI AVUNJA RECORD YAKE MWENYEWE
Leo tumeshuhudia Simba ikipunguzwa kasi na vijana Wa Muadui Huku kinara wa mabao Emmanuel Okwi aki vunja rekodi yake mwenyewe Baada ya kupata Goli la kwanza kwa msimu huu inje ya mkoa wa Dar es salaam. Ikumbukwe kuwa Okwi anaongoza kwa upachikaji mabao huku mabao 13 akipata akiwa jijini Dar es salaam na moja akipata mkoani
Hivyo matokeo ya leo yana pelekea kupungua kwa point moja kati ya kinara wa ligi na mtu wa pili.
Mabao mengine yalifungwa na,
59' Luhende 09' Bocco
89' Nonga 71' Okwi (P)
Msimamo
1-Simba =42
2-Yanga =37
3-Azam =34
4-Singida =33
Wafungaji
1-Okwi (Simba) =14
2-Chirwa (Yanga) =11
3-Bocco (Simba) =10
Mechi ya Kesho VPL
16:00 Lipuli Fc vs Azam Fc.
No comments