REKODI YA ARSENAL ILIYO WEKWA MIAKA 15 MANCHESTER CITY WANAWEZA IVUNJA MCHEZO UJAO IJUE HAPA.
Mnamo mwaka 2002 vijana wa mzee Wenger Arsenal walikuwa wako kwenye fomu nzuri ambayo hadi leo hii hawajaifikia ambapo walionyesha dunia maajabu kwa kuwa timu ya kwanza katika historia ya ligi ya Uingereza kwa kushinda michezo 14 ya ligi mfululizo.
Mwaka huu Manchester City ameamua na kutaka kuifikia rekodi hiyo mara baada ya miaka takribani 15
Mpaka sasa City ameshinda michezo 13 mchezo wake unaofuata ni kati yao na mahasimu wao wakubwa Manchester United.
Je Man city ataweza kumfunga Man utd na kuifikia rekodi ya Arsenal ya mwaka 2002??
Tunaomba utuachie maoni yako hapo chini
No comments