ZITTO KABWE KAYASEMA HAYA BAADA YA KAFULILA KUHAMIA CCM


Muda mchache tu baada ya David Kafulila kukihama Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) Mh.Zitto Kabwe akaamua kutumia ukurasa wake wa Twitter Kuyasema haya.

"Katika hali ya sasa ya kisiasa, machagulio mawili ndio yapo wazi kwetu Kuwepo au Kugoma. Soma vipande vyangu viwili juu ya hii katika @TheCitizenTZ. (Twitter) kesho. Baada ya matukio ya leo inaweza kuwa ni lazima kuongeza sehemu ya 3, SUCCUMB"



No comments