LEMA KAYA SEMA HAYA BAADA YA KATAMBI KUIKACHA CHADEMA


Lema kaamua kuyaandika haya katika ukurasa wake wa tweeter baada ya pigo lakuondokewa na moja ya kiongozi mkuu ngazi ya vijana taifa.

"Baada ya Lazaro kuondoka ccm , ccm wamekuwa na kisasi kikubwa , ambacho kimsingi kitasaidia kuondoa wavulana ktk mapambano haya , bado Mameya wawili ?
Na kijana mwingine aliyekuwa shupavu 2010-2015. Msiogope kwani wanawaogopa sana na ndio sababu ya matendo haya"



.

No comments